GET /api/v0.1/hansard/entries/1521085/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1521085,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521085/?format=api",
"text_counter": 365,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bw. Spika wa Muda, Waziri anaweza kuwa hajui lakini kulingana na Kanuni zetu za Kudumu katika Bunge la Senate, ukianza kuongea unatumia lugha moja. Kwa vile umeanza kuongea Kiswahili, ingekua bora zaidi uendelee kuongea Kiswahili mpaka umalize, si ukifika katikati unawacha panda njia unafuata panda njia ingine. Hiyo hairuhusiwi katika kanuni zetu na ingekua hivyo hivyo---"
}