GET /api/v0.1/hansard/entries/1521093/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1521093,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521093/?format=api",
    "text_counter": 373,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Kulingana na Kanuni zetu za Kudumu, wewe peke yako ndiye unaweza kuniuliza, je, ninahitaji kuambiwa kitu chochote na ndugu yangu Sen. Mandago, kama nilikuwa sijasema kisawa sawa? Kwa hivo, alivyosema yeye si haki kumjibu Seneta hata kama yeye ni Mwenyekiti wangu katika kamati ya Afya. Hana ruhusa na hawezi kuvunja sheria za Kanuni za Kudumu za hili Bunge la Senate. Kwa hivyo, Bw. Spika wa Muda, Waziri ni lazima azingatie ya kwamba yuko katika Jumba hili na akiwa katika Jumba hili la Seneti, kama Kanuni zinasema ni Kiswahili ama kizungu akianza, amalize akijua pia yeye yuko chini ya hizo Kanuni za Kudumu za Bunge la Seneti."
}