GET /api/v0.1/hansard/entries/1521094/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1521094,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521094/?format=api",
    "text_counter": 374,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Abdul Haji",
    "speaker_title": "The Temporary Speaker",
    "speaker": null,
    "content": " Asante, Sen. Madzayo. Sen. Mandago alisimama kwa Hoja ya Nidhamu, si Hoja ya kukupatia information . Alivyosema, Sen. Mandago, mimi kama Mwenyekiti nakubaliana na matamshi yake kwa ajili sheria zetu zinasema Seneta akianza kwa lugha moja aendelee na kumaliza kwa hio lugha. Mimi kama Mwenyekiti nilimpatia Waziri nafasi kujibu kwa lugha ya Kiswahili na halafu akaendelea kwa lugha ya kimombo. Kama Mwenyekiti niliona ni sawa. Kwa hivyo, hiyo Hoja yako Sen. Mdzayo tutaweka kando tuende kwa maswali mengine. Sen. Abass Sheikh Mohamed, please proceed."
}