GET /api/v0.1/hansard/entries/1521104/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1521104,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521104/?format=api",
    "text_counter": 384,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Cabinet Secretary for Health",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kuhusu Bamba, ningependa pia kusema kwamba, Wizara ina bidii kuhakikisha kwamba watu watafikiwa na hii huduma ya afya. Sasa hivi, tunafanya bidii na tunawaambia watu wajisajili na Wizara itahakikisha kuwa huduma inafika kwa wananchi mashinani."
}