GET /api/v0.1/hansard/entries/1521573/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1521573,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521573/?format=api",
"text_counter": 133,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Sifuna",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13599,
"legal_name": "Sifuna Edwin Watenya",
"slug": "sifuna-edwin-watenya"
},
"content": "Kuna sharia inayojulikana kama Kenya Heroes Act. Sheria hii inasema kwamba tuwatunze na kutoa njia ya kuwatunza hawa mashujaa wetu. Nilishtuka sana kuona Spika mwenzako katika Bunge la Kitaifa akisema ameshangazwa na kusikia kwamba Leonard mambo amezikwa katika makaburi ya Langata. Bw. Spika, sheria hiyo inataka Bunge, yaani sisi, tutoe fedha ili kuwasaidia hawa mashujaa wetu. Hamna mtu mwingine mwenye kupewa hilo jukumu. Kwa hivyo, Spika wa Bunge la Kitaifa pamoja na wale ambao wanaratibu jinsi pesa zetu zinatumiwa, waweke fedha katika hii Heroes Act ama Heroes Support Fund ili waweze kupata hiyo"
}