GET /api/v0.1/hansard/entries/1521577/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1521577,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521577/?format=api",
    "text_counter": 137,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen Sifuna",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, sisi kama Bunge ili tusije hapa tena kulalama jinsi ambavyo mashujaa wengine wanatelekezwa, tuweke fedha katika Bajeti ya mwaka huu kwa sababu tuko katika hiyo cycle ya Bajeti, katika Bunge la Kitaifa na hata hapa. Tuweke pesa kwa ajili ya hii National Heroes Assistance Fund ili tusije kupigwa na butwaa jinsi nilivyomwona Mhe. Wetangula akishtuka. Asante."
}