GET /api/v0.1/hansard/entries/1521580/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1521580,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521580/?format=api",
"text_counter": 140,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Cheruiyot",
"speaker_title": "The Senate Majority Leader",
"speaker": {
"id": 13165,
"legal_name": "Aaron Kipkirui Cheruiyot",
"slug": "aaron-cheruiyot"
},
"content": "kuhakiksha kwamba tuna ugatuzi. Tuwaandike na kusema kuwa fulani ni wa kwanza. Hii ni kwa sababu tunajua mchango wake katika kuhakikisha kuwa Kenya kuna ugatuzi. Pengine wale ambao wamezidi katika miaka ya baadaye kuhakikisha kwamba ugatuzi umekita mizizi."
}