GET /api/v0.1/hansard/entries/1521589/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1521589,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521589/?format=api",
    "text_counter": 149,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Okenyuri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii. Ningependa kumkumbuka marehemu Leonard Mambo Mbotela na kutuma pole zangu kwa familia. Kama taifa tunazidi kumkumbuka. Nilikutana na marehemu Leonard Mambo Mbotela mwaka uliopita nilipokuwa nikifuatilia mambo ya shujaa Moraa Ng’iti huko The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}