GET /api/v0.1/hansard/entries/1521590/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1521590,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521590/?format=api",
    "text_counter": 150,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Okenyuri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kisii. Nilipoenda kwa ofisi za National Heroes Council (NHC) nilimpata pale. Walikuwa wametenga siku hiyo kunipokea. Nilifurahishwa na jinsi nilivyopokelewa pale. Marehemu Mambo Mbotela alikuwa mmoja wa wale walioniita na kuomba tupigwe picha pamoja nikikabidhiwa tuzo ambalo Moraa Ng’iti alikuwa amepewa. Kwa hayo, nitamkumbuka kama kiongozi ambaye anakua. Ninajua kuna waandishi wa habari wanaozungumzia mambo tofauti. Huko Kisii kuna mwanahabari anayeitwa Sorobi Moturi anayejaribu kumkaribia mwenye kipindi kama cha marehemu katika redio ya Egesa. Ana kipindi kama “je huu ni ungwana” lakini kwa lugha ya Kisii. Ningependa kumtambua pamoja na wengine wanaofuata nyayo za marehemu Mambo Mbotela. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Asante."
}