GET /api/v0.1/hansard/entries/1521598/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1521598,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521598/?format=api",
"text_counter": 158,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Nyamu",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante sana, Bw. Spika. Namkumbuka marehemu Leonard Mambo Mbotela kama mwanahabari aliyeongea Kiswahili bora na kitamu. Ungesamehewa kudhani kwamba ametoka pwani ya Kenya. Nikiwa mtoto mdogo, nakumbuka wazazi wangu walisikiliza kipindi chake na ilitubidi tumsikilize, upende usipende. Hapo ndipo The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}