GET /api/v0.1/hansard/entries/1521603/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1521603,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521603/?format=api",
    "text_counter": 163,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "maarufu sana. Sammy Lui aliyekuwa amebobea na yuko hai. Amestaafu tu lakini bado anajulikana. Sitasema mengi, ila naomba Seneta wa Mombasa Sen. Faki, akazane na Gavana wa Mombasa Abdullswamad Sherrif Nassir wabadilishe jina la shule ile. Bunge la Kaunti ya Mombasa ipitishe Hoja kuwa shule iliyoko Free Town ibadilishwe jina na kuitwa Leonard Mambo Mbotela Primary School. Bw. Spika, kwa hayo machache, asante sana."
}