GET /api/v0.1/hansard/entries/1521665/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1521665,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521665/?format=api",
    "text_counter": 225,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Korir",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Yangu ni kusimama na Mhe. Gloria, kwa sababu kila mtu hufanya makosa. Katika kielezo, imefafanua ya kwamba Mhe. Gloria ameomba msamaha. Nimesema awali, kila mtu hufanya makosa. Sisi sote tunatenda makossa na ni vizuri kusameheana ili tuweze kutekeleza majukumu yetu. Kwa hivyo, Bw. Spika wa Muda, ningependa kusimama na yeye. Ninaunga mkono arudi hio tarehe 12 kama ambayo imeandikwa. Asante."
}