GET /api/v0.1/hansard/entries/1521937/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1521937,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521937/?format=api",
    "text_counter": 196,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Ni aibu kwamba Shirika la Serikali kama KALRO linashindwa kulipa mishahara yake kwa wafanyakazi kwa wakati ufaao kwa mujibu wa sheria. Katika maombi ya taarifa hiyo, mishahara imecheleweshwa tangu mwaka jana Januari. Sio Shirika hili pekee linalochelewesha mishahara; kuna Shirika la Postal Corporation of Kenya ambalo limekuwa likichelewesha mishahara. Ninapozungumza hivi, mishahara ya mwisho waliyolipa kwa wafanyikazi wake ulikuwa ni wa mwezi na nane mwaka wa 2024."
}