GET /api/v0.1/hansard/entries/1521940/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1521940,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1521940/?format=api",
    "text_counter": 199,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Pia ningependa kugusia tu masuala ya afya yaliyokuja kupitia Taarifa iliyoombwa na Seneta wa Kitui. Afya ni muhimu. Wiki jana mimi pia nilileta suala la afya kutoka Kaunti ya Mombasa. Natumai ya kwamba Kamati husika inayoongozwa na Sen. Mandago italivalia njuga swala hili. Afya ndiyo maisha ya watu wetu. Ikiwa huduma za afya zimedorora na wananchi hawawezi kupata katika kaunti zetu, hiyo itakuwa ni kurudi nyuma na sio sawa kwa maendeleo ya nchi yetu. Kuna wengine wanasema hizi huduma za afya, kwa sababu zimelemea kaunti zetu, afadhali zirejeshwe kwa Serikali la Kitaifa. Hilo litakuwa ni kinyume na ugatuzi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}