GET /api/v0.1/hansard/entries/1523394/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1523394,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1523394/?format=api",
    "text_counter": 340,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": " Ahsante sana Mhe. Spika wa Muda. Nami pia nasimama miongoni mwa wanaounga mkono maslaha ya maafisa wa usalama wa ndani. Wanafanya jukumu kubwa sana. Huu usalama wote ulio katika taifa hili ni jukumu lao. Ingawa wako wanaofanya matatizo na makosa, siyo wote. Maslaha yao yaangaliwe zaidi. Nimefanya kazi ya polisi kwa miaka tisa na nilipata shida kubwa mno. Nimehangaishwa Kenya nzima. Natolewa stesheni hii baada ya miezi sita, napelekwa nyingine kwa miezi sita. Tulikuwa tunatembea na sanduku la chakula na safari bed. Tungeingia katika hali nyingine ambapo hema zingekuwa ni matope matupu, ilhali hapo ndipo tunapikia. Nimefanya katika Kikosi cha"
}