GET /api/v0.1/hansard/entries/1525418/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1525418,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1525418/?format=api",
    "text_counter": 84,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante Bw. Spika. Naunga mkono Taarifa ya Sen. Kinyua kuhusu usalama na wizi wa ng’ombe na mbuzi na wizi kwa maduka ya biashara. Haya sio mambo yanayotokea Kaunti ya Laikipia pekee, bali yapo kwa kaunti nyingi. Yanafanyika North Eastern, West Pokot na Turkana. Shida hii imekuwa nyingi katika nchi yetu. Tuna kaunti 47 na kati ya hizi, zile ambazo hazina mambo ya wizi wa ng’ombe na mbuzi huwa zinafanya kazi nzuri kwa kilimo wakipatiwa pesa za kilimo. Naunga mkono kwamba kuwe na Kamati itakayoshughulikia mambo ya wizi wa ng’ombe na vitu vingine ili zile pesa Maseneta wanapeana kwa kaunti zifanye kazi kwa njia inayofaa. Hali hii imeleta shida katika kona zote. Watoto wengi hawawezi kuenda The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}