GET /api/v0.1/hansard/entries/1525588/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1525588,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1525588/?format=api",
    "text_counter": 254,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda kwa kunipa ruhusa nichangie Hoja inayoendelea kuhusu Kamati ya Kilimo ambayo mimi ni Naibu Mwenyekiti. Katika kaunti 47 za Kenya, kilimo kiko mstari wa kwanza. Vyakula muhimu Kenya ni ugali na mchele. Mambo hayo yote yametokea kwa sababu kilimo cha mahindi na mchele hakipewi kipao mbele. Yale tunayoyachambua hapa yameendelea kwa muda wa miaka kumi na miwili. Ni ajabu kwani tumechambua mambo ya kilimo kwa miaka mingi. Tunajua kwamba kilimo kimepewa kipao mbele. Siku hizi watu wote; wakubwa na wadogo, mawaziri na watoto wa shule--- Tunawaelimisha vijana wetu kwamba wakikosa kazi wajishughulishe na mambo ya kilimo. Bi. Spika wa Muda, tunaongea kuhusu kilimo cha mahindi na yale mambo yanayoendelea katika kaunti ya Bomet. Nakumbusha Seneti kwamba wakati wa zamani The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}