GET /api/v0.1/hansard/entries/1525665/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1525665,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1525665/?format=api",
"text_counter": 52,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika. Bw. Waziri, mimi na Wakenya walio na nia njema tunakushukuru kwa sababu ya kazi unayoifanya. Yangu ni malamishi machache na ndiposa nina swali la kukuuliza. Umetenga siku ambazo utakuwa unazuru kaunti tofauti tofauti na pia unahitaji watu wa kuajiriwa kazi ughaibuni. Hata hivyo, kaunti ambazo umezuru na kufanya kazi zina vijiji vikubwa. Kuna kaunti zilizo mbali na wananchi wanachukua muda mrefu kufika vijijini, kwa mfano, Tana River na zinginezo. Kwa nini hujaweka mpangilio wa kutangaza siku ya kuzuru kule kuwaandikisha vijana na watu wanaotaka kufanya kazi---"
}