GET /api/v0.1/hansard/entries/1525674/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1525674,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1525674/?format=api",
    "text_counter": 61,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Waziri nilikuwa nauliza ni siku gani utapanga na Wizara yako kuzuru kaunti kama Tana River na zinginezo ambazo ziko mbali na miji mikubwa ili uwaandikishe wanaotaka nafasi za kufanya kazi ughaibuni. Asante."
}