GET /api/v0.1/hansard/entries/1525759/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1525759,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1525759/?format=api",
"text_counter": 146,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Cabinet Secretary for Labour and Social Protection",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Hon. (Dr.) Alfred Mutua): Bw. Spika, hesabu ya watoto hao ambayo tutafanya itatupa takwimu ili kufahamu ni wangapi wanaorandaranda katika maeneo yote ya Kenya ikiwemo Mji wa Mombasa. Ni kweli kwamba wengine wamezaliwa na vile vile kuzalia hapo. Siyo ajabu kuwa wengine wana wajukuu ambao pia wanaishi barabarani. Kwa hivyo, ni jambo la kutatanisha kuona kuwa familia hizo zinaendelea kuongezeka. Idadi hiyo ilianza kuongezeka wakati wa janga la COVID-19. Hatimaye, kumekuwa na shida hiyo kwa sababu ya upungufu wa hela. Tutachunguza kwa nini wako hapo na kama wengine wanatumia dawa za kulevya. Kwa hivyo, kuchangia katika uhalifu na ukosefu wa usalama. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}