GET /api/v0.1/hansard/entries/1525813/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1525813,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1525813/?format=api",
    "text_counter": 200,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Ahsante Mheshimiwa Spika. Mwaka jana nilipokuwa katika kamati ya fedha ya bunge hii, waziri wa zamani wa fedha na hazina alikuja mbele ya Committee wakati tulipokuwa tunajadili Budget Policy Statement. Ali commit kwamba hizo pesa ambazo madiwani wa zamani wanatakikana kulipwa yatawekwa katika budget ya mwaka wa 2024/2025. Ni sawa mawaziri waje katika bunge hii na kamati zake kutoa majibu ambayo hayalingani? Prof. Njuguna Ndung’u alikuwa waziri wa fedha na hazina kuu katika serikali ya Kenya Kwanza. Leo tuko na waziri Mbadi. Je ni sawa mawaziri kukuja na majibu tofauti katika bunge hili?"
}