GET /api/v0.1/hansard/entries/1525817/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1525817,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1525817/?format=api",
"text_counter": 204,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "wa zamani ambao walikuwa 11,909. Pia, walisema ya kwamba Kshs218,000,000 itatumika kulipa councilors ambao walifanya kazi zaidi ya term tatu. Naomba Waziri wa Fedha atueleze kwamba haya mambo yalibadilika lini? Ninajaribu kuongea Kiswahili ndio councilors waweze kuelewa. Hiyo ilibadilika lini? Seneti hii inaweza kujieleza kwa njia mbili. Ya kwanza ni kwa ile Motion . Ya pili ni kupitisha sheria. Seneti hii ilipitisha mkataba ikasema ya kwamba former councilors ambao walikuwa 11,400 waweze kulipwa pesa. Tulikuwa na mikutano hapa na tukazungumza. Waziri wa fedha ambaye alikuwa kabla ya Waziri Mbadi alikuja--- Waziri wa Hazina ya Kitaifa na Mipango ya Kiuchumi, ambaye alikuwa kabla ya Hon. Mbadi alihudhuria mkutano wa kamati ya Leba na Ustawi wa Jamii. Ilikuwa Aprili, 23 na akatueleza kuwa wamekubaliana na wanaenda kuwasilisha Cabinet Memo ili pesa hii iwekwe kwenye bajeti. Ningependa kujua kama pesa hii iliwekwa na The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}