GET /api/v0.1/hansard/entries/1526624/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1526624,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1526624/?format=api",
    "text_counter": 96,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, leo ni siku ya kwanza kwa Waziri kuja hapa kujibu maswali na ninampa pongezi. Bw. Waziri, Kaunti ya Embu ina sub counties nne. Mabwawa matatu yanafaa kujengwa kwa ajili ya kilimo cha miraa na muguka upande wa Mbeere North na Mbeere South. Thambana Dam inaweza kusaidia kilimo katika eneo la Mbeere. Vile vile, kuna Kamumu Dam kule Mbeere North ambayo inaweza kusaidia watu wa Runyenjes SubCounty na pia Tharaka Nithi. Waziri, ningependa kujua kazi hiyo itaanza lini ili watu wa Kaunti ya Embu washerehekee kama kaunti zingine 46."
}