GET /api/v0.1/hansard/entries/1526696/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1526696,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1526696/?format=api",
"text_counter": 168,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Mstahiki Spika wa Muda, niko na maswali mawili. Swali langu la kwanza ni kuhusiana na Taasisi ya Kenya Tea Development Agency (KTDA). Juzi kumekuwa na malumbano yaliyomtoa aliyekuwa Mwenyekiti wa KTDA. Wale wanaokaa katika bodi ya KTDA walipofanya hivyo, walitupilia mbali zabuni iliyofanywa ya ununuzi wa mbolea inayoenda kwa wakulima. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and Audio Services,Senate."
}