GET /api/v0.1/hansard/entries/1526704/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1526704,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1526704/?format=api",
    "text_counter": 176,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Bw. Waziri, utafute wakaazi kwa sababu wakati mlitoa makataa, tayari kuna wale ambao walikuwa wamenunua makadamia na kuyaweka ikiwa na maganda ya kuuza nje. Tuweze kuondoa wale na kama ni AFA waende wadhamini. Tuondoe ile makadamia zote ziende kwa sababu niliporudi tena niliambiwa hata shilingi 80 yangu siwezi nunuliwa. Bw. Waziri, shamba langu la makadamia ni zaidi ya ekari 70. Kwa hivyo, nikiongea tilia jambo hili mkazo, fuatilia, fungua soko kwa wale wako na makadamia ambayo tayari zilikuwa zimetengenezwa kuweka kwa magunia ya kuuzwa kwa soko iliyo na maganda. Kisha tena, hiyo nyingine ufungie hata kama ni asilimia 20 iende nje na 80 ibaki tuweze pia kukuza upande zote. Asante sana, Bw. Spika wa Muda."
}