GET /api/v0.1/hansard/entries/1526711/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1526711,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1526711/?format=api",
"text_counter": 183,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Abdul Haji",
"speaker_title": "The Temporary Speaker",
"speaker": null,
"content": " Asante, Bw. Waziri. Sen. (Dr.) Murango, uko na swali lingine? Unajua umesema wewe ni mkulima wa makadamia. Umekuwa mkali sana na unaona Waziri amekubaliana nawe kwa kila jambo. Ukiwa mkulima wa makadamia na unafuatilia maneno ya makadamia, kune mgongano wa kimaslahi hapo."
}