GET /api/v0.1/hansard/entries/1526717/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1526717,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1526717/?format=api",
"text_counter": 189,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Asante Sana Spika wa Muda. Sijui kwa nini Seneta wa Kaunti ya Bomet hanipendi. Nitajarabu sana kujibu swali lake. Hata kama mimi ni mkulima, nimepewa nafasi muhimu sana kukaa katika Bunge hili ambapo naweza kuongea na Waziri ambaye wakulima nchini hawawezi kumfikia. Kwa hivyo, uchungu nilio nao ni uchungu wa mkulima. Akaaye kwenye shina la mti ndiye anayejua wadudu wanaokaa pale wanakula nini."
}