GET /api/v0.1/hansard/entries/1526721/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1526721,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1526721/?format=api",
    "text_counter": 193,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Okiya Omtatah",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Jambo la conflict of interest haliwezi kutokea kwa sababu Seneta alijipigia kura kama mwakilishi wa watu wa eneo analowakilisha siku ya kupiga kura. Kwa kujipia ile kura, inamaanisha kwamba yeye anajiwakilisha akiwa hapa kwa sababu alikuwa anachagua mwakilishi na alijichagua kuwakilisha hoja zake Bungeni. Sioni kama kuna mgongano wowote. Sen. Murango, nadhani wanakusumbua bure. Ulijipigia kura."
}