GET /api/v0.1/hansard/entries/1526730/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1526730,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1526730/?format=api",
    "text_counter": 202,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Thangw’a",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Nilitaka kukuomba umuadhibu mwenzetu hapa lakini amejitetea. Ni vizuri ijulikane katika Bunge hili kwamba wakati mwingine mawakili wako na madharau. Kila wakati wakili anaposimama anasema yeye ni wakili na anajua anachokisema. Lakini wakulima wakipewa nafasi waongee wanaambiwa wanyamaze."
}