GET /api/v0.1/hansard/entries/1526735/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1526735,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1526735/?format=api",
    "text_counter": 207,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Thangw’a",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante sana, Bw. Spika wa Muda. Sina mengi ya kuongeza. Umeona vile wakili mwingine amesimama. Hawatupi nafasi sisi ambao sio mawakili tuongee. Lakini kwa sababu yeye ameomba msamaha, tukwamie hapo ili mkulima aendelee kuongea."
}