GET /api/v0.1/hansard/entries/1526767/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1526767,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1526767/?format=api",
"text_counter": 239,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Sasa tunaona mnafuatilia sheria kama ilivyotakakina. Agenda yetu, Bw. Waziri, ni kuomba mkulima apatiwe barua ya muda wa miezi sita ili mjiandae na kumfunza vile valueaddition inafanywa. Hakuna mambo mingi. Kwa hivyo, ni wewe useme kama mkulima anaweza kupata miezi sita ili mmfunze vile makadamia itakuwa inatengenezwa hapa Kenya ikienda nchi za ng’ambo. Hakuna mambo mengi, Bw. Waziri."
}