GET /api/v0.1/hansard/entries/1526780/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1526780,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1526780/?format=api",
    "text_counter": 252,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika wa Muda, mkulima amekubali kuelimishwa kuhusu vile makadamia itauzwa. Kuna ugumu gani wa kuwakubalia wakulima miezi sita ili sisi kama Kamati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi tuwaelimishe? Tunataka makadamia ifanyiwe value addition kama majani chai na kahawa. Kwa nini barua ya maelekezo isitolewe na Wizara hii ili wakulima wapate kuelimishwa kwa muda wa miezi sita?"
}