GET /api/v0.1/hansard/entries/1526805/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1526805,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1526805/?format=api",
"text_counter": 277,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kuna suala la malimbikizi ya majani chai katika mnada wa Mombasa kwa sababu ya bei ilioko juu ya majani chai hayo. Je, Waziri atafanya nini kuhusiana na suala hilo? Vile vile, Serikali ilitoa mwongozo kwamba, kunywa chai ofisini kumesitishwa kwa sababu za kukaza mshipi. Je, kuna mipango ya kuondoa agizo hilo ili chai iweze kununuliwa kwa wingi na watu waweze kunywa chai ofisini? Asante."
}