GET /api/v0.1/hansard/entries/1527304/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1527304,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1527304/?format=api",
"text_counter": 60,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": null,
"content": " Asante, Mstahiki Spika. Najiunga na wewe kuwakaribisha ndugu zetu kutoka huko nyumbani Kilifi. Nina matumaini ya kwamba wale waliokuja hapa kwa niaba ya Bunge la Kaunti ya Kilifi wamekuja kujionea jinsi tunavyofanya mambo yetu hapa Seneti. Vile vile, natumaini ya kwamba uwepo wao hapa ni kuja kujifundisha mengi. Watapata kujua na kujifundisha ili wanaporudi nyumbani waendeleze Bunge letu la Kaunti ya Kilifi ili liendelee vizuri. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}