GET /api/v0.1/hansard/entries/1527305/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1527305,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1527305/?format=api",
"text_counter": 61,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": null,
"content": "Nachukua pia nafasi hii kuwakaribisha hawa ndugu zetu katika Seneti. Hapa ndipo mnapopata kila kitu mnachokihitaji kule Kilifi. Nataka mkitumie kwa njia ya kisawasawa. Asante, Bw. Spika."
}