GET /api/v0.1/hansard/entries/1527669/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1527669,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1527669/?format=api",
    "text_counter": 73,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Mhe. Spika, kwa kunipa fursa hii ili nichangie Taarifa kuhusu milipuko ya mitungi ya gesi katika miji tofauti. Nampongeza Sen. Ojienda kwa kuleta taarifa hii ambayo imekuja wakati mwafaka. Katika Kaunti ya Mombasa, kila siku kuna mioto isiyopungua miwili au mitatu, na mingi inasababishwa na milipuko ya gesi. Mara nyingi, ijapokuwa kuna ongezeko ya matumizi ya gesi kwa matumizi ya kinyumbani hakujakuwa na mfumo wote wa kuwasaidia wale ambao wanatumia gesi hizi kupata elimu kuhusiana na matumizi haya. Kwa mfano, Mhe. Spika, mpira unaoconnect The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}