GET /api/v0.1/hansard/entries/1532505/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1532505,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1532505/?format=api",
    "text_counter": 4758,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Garsen, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Ali Wario",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Leo ninafurahi kuongea hapa. Niko tayari nisiende kufuturu mpaka niongee. Na kwa sababu leo ni siku ya kuongea Kiswahili, ningependa kuongelea dhuluma ambayo imefanyika kwa hii Second"
}