GET /api/v0.1/hansard/entries/1532507/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1532507,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1532507/?format=api",
"text_counter": 4760,
"type": "speech",
"speaker_name": "Garsen, ODM",
"speaker_title": "Hon. Ali Wario",
"speaker": null,
"content": "Inasikitisha sana wakati Bajeti ya Kenya inapangwa, kuna Wakenya bora kuliko wengine. Katika Kaunti ya Tana River, tuko na shida ya maji. Kuna miradi ya maji ambayo imetangazwa kwa magazeti kupitia Idara ya Maji chini ya Coast Water DevelopmentAgency. Lakini wakati wa kutolewa tender ama barua kwa wanakandarasi, wanaambiwa hakuna pesa. Tukiangalia Suplementary Budget, Wabunge wa sehemu hizo ni kusindikiza tu. Wale ambao wako na maji ndio wanawekewa pesa, ilhali sehemu ambazo ziko na shida ya maji, tunafanya water trucking kutumia mifuko yetu kwa gharama zote. Watu wetu wanateseka. Akina mama wanakufa kwa visima kwa kuvichimba kwa mikono. Vile vile, wanyama wetu wanakufa kwa sababu ya ukosefu wa maji. Hii ni dhuluma kubwa sana. Kwa hii Supplementary Budget, miradi ambayo imetangazwa kwa magazeti hasa sehemu zetu, ni The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}