GET /api/v0.1/hansard/entries/1532508/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1532508,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1532508/?format=api",
    "text_counter": 4761,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Garsen, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Ali Wario",
    "speaker": null,
    "content": "miradi ya gharama isiozidi milioni hamsini. How can you remove Ksh50 million in aSupplementary Budget when billions of shillings go to other parts of the country ? Kwa hivyo, Mhe. Spika wa Muda, ninasimama hapa na kuweka wazi kuwa kuna dhuluma imefanyika kwa hii Second Supplementary Budget . Lazima hii dhuluma irekebishwe chini ya Mwenyekiti aliyetengeneza, Mhe. Naibu Spika wa hili Bunge la Taifa, Mhe. Gladys Boss Sholei. Ile miradi ya Tana River ya maji irudishwe yote. Kuna miradi huja na publicparticipation, Bunge la Kitaifa limeweka billion mbili. Inazunguka kwa kaunti zote. Nimesikia hiyo inapingwa kwa hili Bunge. Sisi tumepata afueni kupitia kwa Supplementary Budget ambayo ni milioni mia moja inayowekewa miradi tofauti. Kwa sasa, hiyo yote imetolewa. Iwapo haki inatendeka nchi hii chini ya Broad-Based Government ambayo sisi tunaunga mkono, hizo miradi zote zirudishwe ili watu wa Tana River wapate haki zao."
}