GET /api/v0.1/hansard/entries/1532513/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1532513,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1532513/?format=api",
"text_counter": 4766,
"type": "speech",
"speaker_name": "Garsen, ODM",
"speaker_title": "Hon. Ali Wario",
"speaker": null,
"content": ". Hizo pesa zirudishwe ili haki ipatikane. Kama hiyo haitafanyika, itakuwa dhuluma kubwa ambayo Bunge la Kitaifa litakuwa limefanyia watu wa Tana River. Yangu ni hayo. Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda."
}