GET /api/v0.1/hansard/entries/1532519/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1532519,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1532519/?format=api",
    "text_counter": 4772,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Garsen, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Ali Wario",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika wa Muda, kwa hivyo, hiyo si ya Kamati ya Bajeti na Makadirio. Hiyo ni haki ya watu wa Tana River, ambao ni wakenya kama wale wengine. Na sio Tana River peke yake, wakenya wengi wanaumia sana kwa sababu ya hii dhuluma ya kihistoria. Hiyo pesa irudishwe ili wakenya wengi wapate haki yao. Ahsante sana."
}