GET /api/v0.1/hansard/entries/1532627/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1532627,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1532627/?format=api",
"text_counter": 4880,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii ili nichangie Mswada huu ambao ni muhimu sana. Ndio maana leo, tukiwa katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, imebidi nifungue na chocolate ndiposa nifungue mwadhini. Hivi sasa ni saa mbili kasorobo. Tulisema ni lazima tukae hapa hadi tuchangie Mswada huu. Vilevile, nashukuru kupata nafasi hii. Baadaye rafiki na ndugu yangu, Mhe. Nabii Nabwera, atafuata. Namwambia kuwa manabii wengi walipita mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Ndiposa kwa sasa namuomba Mhe. Nabii Nabwera tusikizane kuunga Mswada huu mkono. Kwa hivyo, utaongea ndugu yangu."
}