GET /api/v0.1/hansard/entries/1532630/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1532630,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1532630/?format=api",
"text_counter": 4883,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": "maana kuna watu wanasema utakula sambusa za mboga ukienda State House, kwa sababu hakuna sambusa za nyama. Twawambia kuwa pale si mahali pa kula; pale ni mahali pa kazi. Zaidi, nimefurahishwa na Bajeti hii kwa kuongeza makadirio yaliyotengewa"
}