GET /api/v0.1/hansard/entries/1532633/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1532633,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1532633/?format=api",
    "text_counter": 4886,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": "Mhe Spika wa Muda, kuna kipengee cha irrigation and land reclamation katika Bajeti hii. Yaani, unyunyizaji maji na kudhibiti mmomonyoko ambao umeingia katika sehemu nyingi sana. Ksh610,893,000 za Kenya zimetengewa mradi huo. Pesa hizo ni nyingi. Tunazitarajia katika sehemu zetu—Kwa Shehe, Jitoni, Funga Shati na Mwamlai. Nimezungumzia Kwa Shehe mara nyingi hadi nikaleta maneno haya hapa."
}