GET /api/v0.1/hansard/entries/1532634/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1532634,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1532634/?format=api",
"text_counter": 4887,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": "Tukifuatilia vyombo husika na pesa zilizowekwa katika Bajeti hii, nina hakika kuwa lile bonde kubwa lililoko Kwa Shehe litadhibitiwa na kulinda holi, resource centre, na barabara ambazo zimejengwa pale ili watu waishi bila hofu au shida yoyote. Lakusikitisha ni kuwa kuna mpaka makaburi ya Kwa Shehe. Tukitazama, mmomonyoko ule unatisha kuyaharibu. Nakumbuka sehemu ya Mwamlai ilikuwa moja ya zilizotuletea kero katika campaign zetu wakati wa uchaguzi wa 2022. Namshukuru Mwenyezi Mungu ametujalia nguvu tukatengeneza"
}