GET /api/v0.1/hansard/entries/1532636/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1532636,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1532636/?format=api",
"text_counter": 4889,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": ", ambalo linatoka pale katika sehemu ya Mwamlai. Wengi hapo Mwamlai wanajua kuwa sehemu ya mji wa Mzee Swedi ambayo tunashukuru tumeweza kuidhibiti. Leo Serikali kuweka pesa kwa mambo kama haya, itakuwa ni jambo moja la maana sana. Ili sehemu zetu zote ambazo zimeharibiwa na mmomonyoko tuweze kuzifanyia bidii na kuzirudisha kwenye hali ya sawasawa."
}