GET /api/v0.1/hansard/entries/1533638/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1533638,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1533638/?format=api",
"text_counter": 952,
"type": "speech",
"speaker_name": "Eldas, JP",
"speaker_title": "Hon. Adan Keynan",
"speaker": {
"id": 41,
"legal_name": "Adan Wehliye Keynan",
"slug": "adan-keynan"
},
"content": " Ahsante, Mhe. Spika wa Muda. Leo nitazungumza kwa lugha ya Kiswahili. Ningependa kuwakaribisha wanafunzi kutoka Kaunti ya Machakos. Hapa ni Nyumba ambayo sheria inaundwa. Mkiwa wanafunzi kwa sasa, najua huwa mnaitwa viongozi wajao. Lakini ningependa niwaeleze nyinyi ni viongozi wa sasa. Mfanye bidii katika elimu ili mhitimu kuwa viongozi na wataalamu. Nchi yetu inahitaji wataalamu. Kwa hivyo, ningependa kuchukua fursa hii kuwakaribisha hapa. Msome na mfanye bidii kwa elimu. Mkihitimu, mtapata fursa ya kufanya kazi katika nchi yetu tukufu. Karibuni sana. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}