GET /api/v0.1/hansard/entries/1537766/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1537766,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1537766/?format=api",
"text_counter": 264,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Mbagathi. Naweza kukaa tu hapa katika ofisi yangu. Nikiwa kwenye tarakilishi yangu, naweza kupata mambo yote. Mambo ambayo nasoma kwenye tarakilishi ni mpya kushinda kitabu kililchoandikwa. Kwa hivyo, Bw. Spika wa Muda, naomba Sen. Korir aangalie jinsi atakavyoingiza mambo ya teknolojia katika maktaba zetu."
}