GET /api/v0.1/hansard/entries/1538208/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1538208,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1538208/?format=api",
    "text_counter": 422,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Igembe South, UDA",
    "speaker_title": "Hon. John Paul Mwirigi",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana Mhe. Spika. Nami pia nataka kujiunga na wenzangu kuwapa kongole wenyekiti na manaibu wao kwa kuchaguliwa kwa uongozi wa kamati za Bunge. Wakenya wameliangalia hili Bunge sana ili liweze kusaidika kwa hiki kipindi kilichosalia. Sisi tunaoketi katika hizo kamati, tuko tayari kushirikiana nanyi na kuwasaidia popote mnapotaka. Tutahakikisha kuwa yale majukumu yanawafinya wananchi wa taifa hili tumeyatatua. Asante sana, Mhe. Spika."
}