GET /api/v0.1/hansard/entries/1538459/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1538459,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1538459/?format=api",
"text_counter": 243,
"type": "speech",
"speaker_name": "Likoni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Mishi Mboko",
"speaker": null,
"content": " Ahsante, Mhe. Mwenyekiti wa Muda. Hiyo Vote 2041 ni muhimu sana kwa sababu inasimamia mambo mengi katika Bunge letu. Wakati tulipunguza fedha katika vitengo tofauti kwa sababu ya uchumi wa Kenya, hii Vote ilipunguzwa sana. Mambo mengi ambayo yanahusu Bunge letu katika nyanja tofauti yalitatizika. Ni muhimu sana iongezewe ili matakwa yetu na shughuli zetu za Bunge ambazo zinapitia kwa Tume hii ya Bunge, zisikuwe na utata au shida nyingine yoyote. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}